House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 3 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 29.12.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
UKICHELEWA AIJIRUDII TENA
-------
Chumba master
Seble
Maji yana flow
Umeme wana shea 3
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 100,000/=×3
---------
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI LAKI 1
---------
Contact
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030