House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/=X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA what's up+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni SANA Tz DALALIMICHAELKANYERERE 🇹🇿🙏
maikokanyerere904@gmail.com