House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TUU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KODI TSH 250,000X6
KIMARA STOP OVER KM.1KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA STOP OVER
USAFIRI UPO MWINGI WA BODA ELFU 1000/=
CHUMBA KIKUBWAAAAA
NA PUBLIC TOILET YA NDANI
NA SEBLE KUBWA SANA
NA JIKO KUBWA LA MAKABATI
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
MAJI DAWASCO METER YAKE
TILES SAFI
GYPSUM BOARD
SLIDE WINDOWS
FULL PAVING BLOCKS
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
MAZINGILA MANZURI SANA MNO
SERVICE CHARGE 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258