House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA MPYAA..*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
๐ฅ *KODI YAKE 170K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA*
๐๏ธ *APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO*
*โกCHUMBA MASTER*
โก *SEBURE  KUBWA SAFI*
โก *JIKO SAFI*
โก *TILES/ GIPSUM*
โก *SLIDE WINDOW* 
โก *UMEME SUBMETER.* 
โก *MITA YA MAJI SAFI DAWASA WANASHEA W2*
๐๏ธ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.* 
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5*
 *BAJAJI  TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1000/=*
โ *NYUMBA HAIPO NDANI YA FENCE,  LAKINI USALAMA WAKE NI WAKUTOSHA,,*โ
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________



















