House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAPA KUNA APARTMENT MBILI TU AMBAZO ZIPO WAZI
ZIPO KIMARA TEMBONI
1: NI VYUMBA V2 VYA KULALA SEBULE KUBWA JIKO LA PEMBENI CHOO NI CHA PUBLIC TOILET NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA IPO NDANI YA UKUTA GETI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MBILI NA ISHIRINI
220,000/= ×6
2: CHUMBA SEBULE CHOO SHEA WATATU TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU SUBMITER IPO NDANI YA UKUTA GETI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MOJA NA ISHIRINI NA TANO
125,000/=6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
Kwenda KUONA NYUMBA NI TSHS ELFU 15 🇹🇿
==============
CALL 0683234124
0718367179