House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 150,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
NI CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE SAFI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Piga cm
#0710614924
#0688653940