House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
USAFIRI IPO WA KUTOSHA KUFIKA KWENYE NYUMBA
๐CHUMBA
๐SEBULE
๐CHOO NA
๐JIKO
๐FULL AIR CONDITION
๐FULL INTERNET
IPO NDANI YA FENCE PAKING YA KUTOSHA USALAMA WA KUTOSHA
INAJITEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI
KODI 400,000/=ร6
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE NI 20,000/=
RUKSA KULIPIA ZITAKUWA TAYARI TAREHE 1/2/2025
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGASIMU
#0785889413