House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 4
KUTOKA STEND STOP OVER KUPELEKWA KUONA ELF 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
Kuna chumba Master bedroom haina jiko
Sebule
Yachini zipo wazi
Inajitegemea umeme NA maji
Mazingira mazuri sana
Wale ambao hampendi mbali na njoo na hela
Jamani nasema hazina jiko
Kwa wasela zinafaa sana
KODI YA PANGO
________________
💰Kodi ni laki mbili tuu/=
(200,000)
X 6
Hachukuwi chni ya miezi sita
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
CALL 0625606710