House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #250k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Kodi 250,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
===
Ndani ya fence parking IPO,kila apartment inajitegemea umeme na maji iliyopo wazi niyajuu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0710614924