House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 180,000X6
KIMARA STOP OVA DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
SOMA KWA MAKINI HAPA
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA
NYUMBA NDIO HII SASA NI DAKIKA 5 KUTOKA STAND YA DALADALA STOP OVA
Seble Kubwa
Chumba
Jiko kubwa
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence zipo 3
Parking space kubwa sana
Service charge 15,000\/=
Kodi 180,000X6
NB NYUMBA HII UTARUHUSIWA KUINGIA SIKU 20 BAADA YA MTEJA KULIPIA
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI SIMU 0659336751 WSP 0786085637