House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 300000x6 STAND ALONE KIMARA TEMBONI🔥
=========
NYUMBA INAGANGISHWA YANI STENDI ALONI
==========
IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2
HADI KWENYE NYUMBA
=======
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
=======
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
SEBULE DAINGI
JIKO LIPO NJE
========
MAJI DAWASKO
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA
KODI YA MWEZI MMOJA
========
#0710614924
#0688653940