House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🗯️lipia Kodi hata mwezi mmoja
đź“Ť Chumba chenye vitu ndani kinapangishwa KIMARA KOROGWE, 200,000/= Ă—1
__________________________
đź“Ś Kitanda na Godoro unavikuta
đź“Ś Kiti na meza unavikuta
• Chumba master Kizuri
Ă—Hamna Jiko
• Sehem ya kupumzika ya kushare
* Umeme BURE
* Maji BURE
* Usafi Wa mazingira BURE
* Slide window
* Mazingira Tulivu sana.
#Umbali wa dakika 8-12 tu Kwa miguu
NB: Kinamfaa mtu Bachelor
__________
đź“Ś *MUHIMU*
#Malipo ya Dalali Nasson ni 200,000/=
#Kwenda kuona 15,000
â„–:- 0753172516