House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM KUBWA SANA NA SEBULE KUBWA
NA JIKO''
NYUMBA NZURI SAANA
MPYAA KABISA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ KODI YAKE 130K X6//
ILIPWE LAKI MOJA NA THERATHINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
#NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WA KUTOSHA.
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#MAJI SAFI DAWASA
#UMEME WAKE..
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1,000/=
๐๏ธ๐น๐ฟ KARIBUNI SAANA..
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI