House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


IMESHAPIGWA RANGI NI YA KULIPIA NA KUINGIA TUU
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 120,000x6
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5X6
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI NOA 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBANI
SIFA ZAKE
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
IPO NDAN YA FENSI SAFI ILA SIO YA KULAZA GARI
INA TILLES GYPSUM SAFI
LUKU 3 NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
SERVICE CHARGE ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258