House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


400,000 
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY 
INAFANYIWA MAREKE BISHO YOTE BILA SHAKA 
MTAA TULIVU
INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #400k
Vyumba 4 vya kulala kimoja master 
sebule jiko 
na public toilet ya ndani 
Sto kubwa ya jikoni 
Mtaa wa kishuwa kabisa
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Ina pigwa langi nyumba nzima
Umbali KM 2.5 
Bajaji 1000
Boda boda 15
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















