House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑1.8km Kutoka Mwendokasi, Pia Unaweza Pitia Ubungo External Bajaji 500 au Dala dala, Ukishuka Unaingia Ndani
🏡#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master Kikubwa
🔹Sehemu ya Jiko
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanflow ndani
🔹Fensi yake Hailazi Gari
,📌Hii Inakuwa Wazi Tar 25/06/2024 Kuiona Na kulipia Ruksa .
🔶Kodi Tsh 150,000/=×5(Miezi Mitano)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
# Simu 0757 404087