House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
HAPA KUNA NYUMBA 2 TU ZIKO MBALIMBALI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA GETI LAKE NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA MOJA NDIO INAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VYOTE MASTER MAKABATI VYUMBA VYOTE
#JIKO KUBWA SANA LA KISASA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#FULL ICE NYUMBA NZIMA
#HITER MAJI MOTO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI SIMTANK MBILI KUBWA
#TAILZY, GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA GETI LAKE NA PARKING YAKE
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA YA ZEGE USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI AU TAX DALADALA NAULI 500 TU UKISHUKA DK 2 UPO GETINI
#BEI NI 750,0000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 ( LAKI SABA NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA)
Contact 0686846650