House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT 🔥🔥💥💥 AT KIMARA TEMBONI MTAA WA MAGOROFANI # IMEBAKIA MOJA TUU
💥APARTMENT HIZI MPYA IMEBAKIA 1 TUU NA APARTMENT NNE (4) ZIMELIPIWA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YAMEFUNGWA VYUMBA VYOTE
#GARDEN + PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI TSH 700,000/=×6
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
Call me
0754344786
0652472014