House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAYA HII HAPA CHANGAMKIA FURSA BEI NI 150K 
LOCATION  KIMARA STOP OVER 
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO 
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO YANAFLOW NDANI 
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD PIA UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO AU TEMBONI KOTE UNAFIKA
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
KODI NI 150,000X6 
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
 0655256419




















