House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK. 10
KUTEMBEA KWA MGUU
BAJAJI. 500/
UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA NA SEBULE KUBWA SANA
CHOO PABLIC CHA NDANI MNASHEA WATATU
MAJI YAPO CHOONI NA BAFUNI
UMEME SABMITA
====
KODI. 135,000/=X5 AU 6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 135,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940