House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE INAPANGISHWA KIMARA KOLOGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2
INA VYUMBA VYA KULALA 4
VIWILI MASTERS BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
DAINING KUBWA
JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
SAFI ZA NYUMBA
√TAILIZI , GPYSAMU
√DILISHA ALUMINUM
√MAJI DAWSCO
√PAVING BLOCK 🚫
√SPACE KUBWA SANA YA PACKAGE
√NDANI YA FENCE
KODI 600000 MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH 15000
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA GARI ZOTE
NB: NYU
MBA INAFUNGWA MAJI NDANI NA MAKABATI JIKONI
0655256419