House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 150k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita 1.5 Kutoka Main Road Usafiri Bajaj 700 Ukishuka Tu Unaingia Ndani.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM KIKUBWA
• JIKO LAKE NDANI
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking Ipo
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 150,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp