House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE NYUMBA NI KALI YAANI NI HATARI NA NUSU NJOO NA PESA NDUGU MTEJA #500K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA LENYE KABATI
#CHOO KIZURI SANA CHA FAMILIA
#LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA
#MAJI YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK SAFI KABISA MAZINGIRA MAZURI SANA KWA KUCHEZA WATOTO NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE NJIA YA ZEGE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI AU DALADALA NAULI (500) TU
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
0716223412
0683597453
PIGA SIMU UKITUMA MSG UTACHELEWA KUJIBIWA