House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/= × 6
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
MAFUNDI WAPO KAZINI KWA KASI YA 5G NA ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 LIPIA MAPEMA UHAMIE MAPEMA
BEI NI 400,000,000/= × 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
ANGALIZO:- APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 WAHI NDUGU MTEJA NYUMBA ZIMEBAKIA CHACHE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja