House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI
300,000/=X 6👈
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6👈 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KU LIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 BAJAJI 1000👈 BODABODA 1000 👈NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0652 508128
0753 989554
=====