House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #270k
===
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 270,000 Kwa mwezi Γ 6
===
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
PIGA CM 0764575774