House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


π° Inapangishwa, KIMARA KOROGWE
π 350,000/= Γ3 (kodi hata Miezi Mitatu)
_______
___
β’ Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo master bedroom)
β’ Sebule
β’ Jiko
β’ Choo cha Public
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Inajitegemea UMEME
* Maji Ndani
* Madilisha ya Nyavu Makubwa yenye hewa
#ipo upande wa kushoto kama unaendaMbezi, umbali wa kutembea dk 15 -20
#Pia unaweza Panda Bajaji 500/=
______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 350,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
____________
0753-172-516