House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM KUBWA SANA YA KIBABE INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KODI 120,000X6
Chumba cha kulala kikubwa Sana na Choo ndani ( MASTER BEDROOM
Kodi 120,000 Kwa mwezi ร 6
UMEME wawili KUNA submeter,maji yanaflow chooni
Mnachangia bill,
NDUGU MTEJA NYUMBA NIYAKUHAMIA TU
Umbali KM 1.7 KUTOKA KIMARA MWISHO
Usafiri BODABODA 1000 BAJAJI daladala UKISHUKA KWENYE BAJAJI DAKIKA 1 UPO NDANI YA FENSI GETI LAKE HAILAZI GARI
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
What saapp Number 0689-547258