House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA*
*NDANI YA FENCE* š„š„
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
š„ *KODI YAKE 200K X4//*
*ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA*
šļø *APARTMENT HIIZI INA SIFA ZIFUATAZO*
ā” *VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA NI MASTER KUBWA SANA*
ā” *SEBURE SAFI
ā” *JIKO SAFI NA MAJI YANAFLO
ā” *PUBLIC TOILET OUTSIDE
ā” *TILES/ GIPSUM
ā” *SLIDE WINDOW
ā” *FULL PAIVING
ā” *GARDEN SAFI
ā” *LUKU NA MITA YA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA KWA KILA NYUMBA
šļø *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7.
*BAJAJI TSH 700/=
*BODA BODA TSH 1000/=
šļøš¹šæ KARIBUNI SANA
PIGA SIMU: 0764575774