House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


SIJAWAHI ONA NYUMBA NZURI KAMA HII YA KIBACHELA NZURI SANA
IPO KIMARA MWISHO HII
UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI
BAJAJI ZIPO 500 PIKIPK ZIPO 1000
UKISHUKA KWENY BAJAJI WAINGIA NDANI UNAPIGA GETI TEKEEEEE
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA MAKABATI
CHUMBA MASTER
AC/AIRCONDITION
HEAT MAJI MOTO JIKONI
SECURITY CAMERA KILA KONA/MLIMZI KAMPUNI
PEVINGBLOCK
MAJI MITER YAKO
UMEME MITER YAKO
PARKING KUBWA SANA HATA UWE NA GARI KUMI
BARABAR MKEKA MPK KWENY NYUMBA
YA JUU NDIYO IPO WAZI WAHI UPATE UPEPO MWANANA
BEMBEA NJE ZA KUPUMZIKA
BEI NI 250,000 ILIPWE MIEZI SITA
SERVICE CHARGE NI ELFU KUMI NA TANO 15
PIGA SIMU
CALL:0785889413
WSP:0785889413 CHEKI KWENY PAGE YANGU MAMBO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥