House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 3 ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Full air condition
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
-------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ