House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM KIKUBWA 100k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Umbali wa Kilomita 1.5 Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 500 na Boda 1000
Chumba Kipo Ndani ya Fensi ila Geti Bado na Umeme LUKU WAWILI na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 100,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp