House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KIMARA MWISHO UMBALI KM 1.5 USAFIRI UPO WA DALA DALA 700 BODA BODA TSH 1000 NA BAJAJI ZIPO 1000
KODI TSH 120,000X4
CHUMBA SEBULE KUBWA PABLIC TOILET NJE
MADIRISHA KIOO
NDANI YA FENSI
MAJI DAWASA YAPO NJE
KODI TSH 120,000X4 NAKUENDELEA
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1