House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
# INAYOPANGISWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
BEI NI 250,000/= X 3
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NA UNAFIKA KWENYE NYUMBA VIZURI SANA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Itakuwa wazi jumamosi kuona kulipia ruksa
PIGA SIMU
0719969102
0714903124