House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
đź“Ł Inapangishwa KIMARA KOROGWE
đź“Ť Kodi 150,000/= Ă—6
_
______
• Jiko Zuri
• Chumba Master Kikubwa
* Inajitegeme UMEME na MAJI
* Maji ndani
* Ndani ya fensi ya waya
* Eneo maalum la kupark
#Umbali wa 1 .5Km, usafiri upo wa bajaji Tsh 700/= au bodaboda Tsh 1,000/=, ukishuka kwenye bajaji unaiona nyumba
#Note: Inakuwa wazi tarehe 08/11/2024, kuona na kulipia Ruksa
___________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 150,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
â„–:- 0753172516