House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000 x6
Itakuwa wazi 5/6/2024/
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-โโboda boda 1000
Bajaji 500
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
๐ฐKodi 300,000/=ร6
โโโ
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
#0625606710