House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KATIKATI YA KIMARA NA STOP OVER DK 15 KUTOKA KIMARA AU STOP OVER STAND
_____________________________________________
SIFA YA NYUMBA
NYUMBA MPYA
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
IPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA SALAMA KABSA
FENSI HAIINGIZI GARI
MAJI YAPO
___________________________________________
KUPELEKWA KUONA ELF 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA YAMWEZI MMOJA
KODI NI 170,000×6
MALIPO NI MIEZI SITA 6
_______________________________________
___
MAWASILIANO
WHATSAPP 0713836261
AU PIGA 0688931223
DALALI MENDEZI KIMARA