House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU.
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
SLIDE WINDOW
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
KUNA SEHEMU YA KUPUMZIKA SAFI KABISA
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000
KODI 400,000/=×4
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087