House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT LINAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 8
ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU KUONA NA KULIPIA RUKSA
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO INA STOO INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET ELECTRIC FENCE WAYA
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU
300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO PANGO
============
CALL
0683234124