House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)#KIMARA_MWISHO
INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖➖➖
MAHALI:KIMARA MWISHO 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
NB:INAKUWA WAZI TAR 01/03/2025KULIPIA AU KUFANYA BOOKING KWA PESA YA ADVENCE RUKSA... MAONGEZI YA KODI YAPO KIDOGO
➖➖➖➖➖➖➖
KODI:(250,000X6)
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
NDANI YA UZIO
➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0713661530_0783661530