House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa KIMARA BARUTI dk2
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
SEBULE
JIKO LA KISASA
PUBLIC TOILET
UMEME WA LUKU
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PARKING YAKUTOSHA
USALAMA WAKUTOSHA
Kodi 260,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.