House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA
BEI
TSH. 160,000/= KWA MWEZI. ILIPWE KUANZIA MIEZI 6
SIFA
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA
HAKUNA JIKO
HAKUNA PARKING
LUKU WATU 2 TUU
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
IPO NDANI YA FENSI LAKINI HUWEZI KULAZA GARI
LOCATION
IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. USAFIRI NI BAJAJI TSH. 500
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177