House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT 🔥🔥💥💥 AT KIMARA TEMBONI MTAA WA MAGOROFANI # IMEBAKIA MOJA TUU
💥APARTMENT HIZI MPYA IMEBAKIA 1 TUU NA APARTMENT NNE (4) ZIMELIPIWA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YAMEFUNGWA VYUMBA VYOTE
#GARDEN + PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI TSH 700,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
# Simu 0757 404087