House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


#APARTMENT YA #KİFAMİLİA #MPYAAA #MPYAAA #MPYAAA
💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫
ZİNAPANGİSHWA#KIMARA TEMBONI
UMBALI WA DK 10 KUTOKEA MAİN ROAD.
__
💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule Kubwa
Jiko zuri
Choo cha familia
Garden
Full ulinzi upo na mazingira safiiiii
Parking ipo
Maji na Umeme Luku yako
NYUMBA ZIPO TATU KWENYE FENSI MOJA NO USWAHILI HAPA
0
KODİ 300,000/= × 6
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087