House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
๐ฏ๏ธlipia Kodi hata mwezi mmoja
๐ Chumba chenye vitu ndani kinapangishwa KIMARA KOROGWE, 200,000/= ร1 (Ofa ๐ฅ)
__________________________
๐ Kitanda na Godoro unavikuta
๐ Kiti na meza unavikuta
#Njoo na begi lako na shuka
โข Chumba master Kizuri
* Umeme BURE
* Maji BURE
* Usafi Wa mazingira BURE
* Slide window
* Mazingira Tulivu sana.
#Umbali wa dakika 8-12 tu Kwa miguu
NB: Kinamfaa mtu Bachelor (Haimfai mtu mwenye vitu vyake)
__________
๐ *MUHIMU*
#Malipo ya Dalali Nasson ni 100,000/= (OFA ๐ฅ)
#Kwenda kuona 15,000
โ:- 0753172516