House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 600,000

KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD..ZIMEBAKI MBILI .NJOO TUMALIZIE...
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT 🔥🔥💥💥 AT KIMARA TEMBONI ZIMEBAKIA 3 TUU

💥APARTMENT HIZI MPYA ZIPO 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU

SEHEMU 'A'

#VYUMBA VITATU 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBANI
#GARDEN + PAVING
#PARKING KUBWA

BEI NI TSH 700,000/= X 6

SEHEMU 'B'

#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBA VYOTE
#GARDEN + PAVING ZA KISASA
#PARKING KUBWA

BEI NI TSH 600,000/= X 6

FULL SECURITY CCTV CAMERA NA FENSI YA WAYA WA UMEME

🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

📌📌 APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/06/2024

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15

UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_jitu_ubungo_kimara_mbezi
dalali_jitu_ubungo_kimara_mbez
dalali_jitu_ubungo_kimara_mbezi

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK6-------Chumba kikubwa Seble kubwa JikoLuku yako Maji y...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHOKODI 250000X4✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI UK8SHUKA KWENYE BAJAJI UPO KWAKO. -------Chu...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 270,000/= X 3 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHU...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000X6) KIMARA BARUTI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖➖➖➖LOCATION KIMARA BARUTI DK 6 TOK...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHOKODI 250,000/=×4✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHOKODI 250000X4✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTE...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA =============KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA ===...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION:KIMARA KOROGWE DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA 1000 BA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

PUNGUZO LA BEI JAMANI KWA AJILI YA PASAKA200,000 X6 DAKIKA 5 KWAMIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA T...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1 BAJAJI ZIPO KUPE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHOKODI 250,000/=×4✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHOKODI 250000X4✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

KODI NI 900,000 x6. 0679 956 863 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA NYUMBA ZINAPANGISHWAZIPO KIMARA KOR...