House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


IPO WAZI MTU KAAMA LEO ASUBUI AJARUDISHA FUNGUO
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UMBALI WA DK 2 KUTOKA BRBR YA LAMI
SIFA ZAKE
#######
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA CHOO NDAN NA JIKO ZURI KUBWA
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SERVICHAJ ELFU 15 NA NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
# Simu 0757 404087