House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#KIBALAZA
#SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO
#HAKUNA JIKO HAPA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#SEHEMU YA KUPAKI GARI IPO
BEI NI 150,000/= X 6
ILIPWE LAKI 1 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA AU BAJAJI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI