House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 ร 4) KIMARA TEMBONI PIA UNAWEZA PITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= ร 4
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= ร 4
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA NJIA NI NZURI TUU NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300