House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Kodi 120,000 CHUMBA MASTER BEDROOM INAPANGISHWA- KIMARA MWISHO #MPYAAA
chumba Cha kulala Kikubwa
Choo ndani
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 6
PIA: Chumba cha kulala Choo ndani na JIKO
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
°====
Umeme shared,Maji yanaflow chooni. MAJI BURE KABISA
====
Umbali KM 2.5 toka kituoni Usafiri bajaji zipo zakutosha
====
Ndani ya fence parking ipo
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
====
#malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja
=== Contact 0748817181